MUUNDO WA WIZARA

MUUNDO NA MAJUKUMU YA SASA YA WIZARA YA VIJANA, UTAMADUNI, SANAA NA MICHEZO.

Wizara yaVijana, Utamaduni, Sanaa na Michezo inaundwa na Sekta kuu nne ambazo ni Sekta ya Vijana, Utamaduni, Sanaa na Michezo zilizo chini ya taasisi 11 ambazo zipo Unguja na Pemba kama zifuatazo:-

 1. Idara ya Utumishi na Uendeshaji
 2. Idara ya Mipango, Sera na Utafiti
 3. Ofisi Kuu Pemba
 4. Idara ya Maendeleo ya Vijana
 5. Baraza la Vijana Zanzibar
 6. Idara ya Utamaduni na Sanaa
 7. Baraza la Kiswahili Zanzibar (BAKIZA)
 8. Baraza la Sanaa, Sensa ya Filamu na Utamaduni (BASSFU)
 9. Afisi ya Msajili wa Hakimiliki (COSOZA)
 10. Idara ya Michezo
 11. Baraza la Taifa la Michezo Zanzibar (BTMZ)

Aidha, Muundo wa Taasisi zilizo chini ya katibu mkuu moja kwa moja zinazo ongozwa na mkurugenzi kusaidiana na maafisa waandamizi. Pia ina vitengo sita (6) vinavyo ripoti moja kwa moja kwa katibu mkuu ambavyo ni: –

 1. Kitengo cha Fedha na Uhasibu
 2. Kitengo cha Manunuzi na ugavi
 3. Kitengo cha sheria
 4. Kitengo cha uhusianona
 5. Kitengo cha Teknolojia na Habari na Mawasiliano   ( TEHAMA)
 6. Kitengo cha Ukaguzi za Hesabu za Ndani